sw_tn/1jn/01/intro.md

26 lines
1.0 KiB
Markdown
Raw Normal View History

2021-09-10 19:12:24 +00:00
# 1 Yohana 01 Maelezo ya Jumla
### Muundo na upangiliaji
Hii ni barua ambayo Yohana aliwaandikia Wakristo.
### Dhana maalum katika sura hii
#### Wakristo na dhambi
Katika sura hii Yohana anafundisha kwamba Wakristo wote bado ni wenye dhambi. Lakini Mungu anaendelea kusamehe dhambi za Mkristo. (See: rc://en/tw/dict/bible/kt/sin]] and [[rc://en/tw/dict/bible/kt/faith]] and [[rc://en/tw/dict/bible/kt/forgive)
### Mifano muhimu ya matamshi katika sura hii
#### Mifano
Katika sura hii Yohana anaandika kwamba Mungu ni mwanga. Mwanga ni mfano ya ufahamu na uadilifu. (See: rc://en/ta/man/translate/figs-metaphor]] and [[rc://en/tw/dict/bible/kt/righteous)
Yohana pia anaandika kuhusu watu wanaotembea katika nuru au katika giza. Kutembea ni mfano ya tabia au kuishi. Watu wanaotembea katika mwanga huelewa kilicho haki na kukifanya. Watu wanaotembea katika giza hawawezi kuelewa yaliyo sawa, na wanatenda dhambi.
## Links:
* __[1 John 01:01 Notes](./01.md)__
* __[1 John intro](../front/intro.md)__
__| [>>](../02/intro.md)__