sw_tn/1co/14/20.md

17 lines
505 B
Markdown
Raw Normal View History

2018-04-12 01:01:04 +00:00
# Maelezo ya Jumla
Paulo anawaambia kuwa kunena katika lugha mbalimbali kulitabiliwa tangu zamani na nabii Isaya, hii ilikuwa miaka mingi kabla ya tukio la kunena kwa lugha lilotukia siku ya kuanza kwa kanisa la Kristo.
# watoto
" watu wanaoweza kudanganywa kwa urahisi"
# Imeandikwa katika sheria
Kwa maneno mengine ni kusema "Nabii aliandika maneno haya katika sheria (Agano la Kale)"
# Kwa watu wa lugha nyingine na kwa midomo ya wageni
Vifungu hivi viwili vinamaana moja tu, ili kuweka mkazo.