sw_tn/1co/13/intro.md

23 lines
846 B
Markdown
Raw Normal View History

2021-09-10 19:12:24 +00:00
# 1 Wakorintho 13 Maelezo ya Jumla
### Muundo na upangiliaji
Paulo anaonekana kuacha mafundisho yake kuhusu vipaji vya kiroho. Hata hivyo, labda sura hii hutumika pakubwa katika mafundisho yake.
### Dhana maalum katika sura hii
#### Upendo
Upendo ni sifa muhimu zaidi ya mwamini. Sura hii inaeleza kikamilifu kuhusu upendo. Paulo anaeleza kwa nini upendo ni muhimu zaidi kuliko vipaji vya Roho. (See: rc://en/tw/dict/bible/kt/love)
### mifano mhimu ya matamshi katika sura hii
#### Mifano
Paulo anatumia mifano nyingi tofauti katika sura hii. Anatumia sitiari hizi kuwafundisha Wakorintho, hasa katika mada ngumu. Wasomaji mara nyingi wanahitaji ufahamu wa kiroho kuelewa mafundisho haya. (See: rc://en/ta/man/translate/figs-metaphor)
## Links:
* __[1 Corinthians 13:01 Notes](./01.md)__
__[<<](../12/intro.md) | [>>](../14/intro.md)__