sw_tn/1co/09/15.md

21 lines
321 B
Markdown
Raw Normal View History

2018-04-12 01:01:04 +00:00
# haki hizi
"vitu hivi ambavyo wanastahili"
# ili jambo lolote lifanyike kwa ajili yangu
Katika muundo wa kitenzi tendaji:- "kwa hiyo mtafanya jambo kwa ajili yangu"
# kubatilisha huku kujisifu
"kuondo hii fursa ambayo najisifia"
# lazima nifanye hivi
"Lazima nihubiri injli"
# ole wangu
"itakuwa bahati mbaya"