sw_tn/1co/07/17.md

17 lines
531 B
Markdown
Raw Normal View History

2018-04-12 01:01:04 +00:00
# Kila mmoja
"Kila muumini"
# Hii ni kawaida kwa kila kanisa
Paulo alikuwa anafundisha waumini katika makanisa yote kufuata katika njia hii.
# yeyote alikuwa ametahiriwa alipoitwa kuamini.
Paulo alikuwa anafikisha ujumbe utahiriaji(Wayahudi) "Kwa waliotahiriwa, Mungu alipowaita kuamini, Mlikuwa tayari mmetahiriwa."
# Yeyote alipoitwa kwa imani alikuwa hajatahiriwa.
Paulo alikuwa sasa anafikisha ujumbe kwa wale walikuwa hawajatahiriwa. "Kwa waliokuwa hawajatahiriwa ,Mungu alipowaita kuamini, mlikuwa bado kutahiriwa."