forked from WA-Catalog/sw_tn
21 lines
536 B
Markdown
21 lines
536 B
Markdown
|
# Hamjui...
|
||
|
|
||
|
Nataka niwakumbushe...
|
||
|
|
||
|
# Mwili wako
|
||
|
|
||
|
Mwili wa kila Mkristo binafsi ni hekalu la Roho Mtakatifu
|
||
|
|
||
|
# Hekalula roho Mtakatifu
|
||
|
|
||
|
Hekalu limewekwa wakfu kwa kusudi maalum, na pia ni mahali anapoishi. Katika njia moja, kila mwili wa muumini wa wakorintho ni kama hekalu, kwa sababu Roho Mtakatifu yupo pamoja nao.
|
||
|
|
||
|
# Ninyi mlinunuliwa kwa thamani
|
||
|
|
||
|
Mungu amelipa kwa uhuru wa Wakorintho kutoka katika utumwa wa dhambi. "Mungu alilipa kwa uhuru wenu."
|
||
|
|
||
|
# Kwa hiyo
|
||
|
|
||
|
"Hivyo" au "Kwa kuwa hii ni kweli" au "kwa sababu ya ukweli huu."
|
||
|
|