forked from WA-Catalog/sw_tn
8 lines
298 B
Markdown
8 lines
298 B
Markdown
|
# hakuna ulimi wa udanganyifu utakaoonekana mdomoni mwao
|
||
|
|
||
|
"hakuna hata mmoja atakayeonekana na ulimi wa udanganyifu mdomoni mwake" au "hawatasema vitu vya udanganyifu."
|
||
|
|
||
|
# watafunga na kulala chini
|
||
|
|
||
|
Yahweh husema kwa watu wa israeli kama wao ni kundi la kondoo wanaofunga na kupumzika kwa usalama.
|