sw_tn/zep/03/06.md

4 lines
229 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# Nimeifanya mitaa yao magofu, hivyo hakuna atakayepita juu yao. Miji yao imeharibiwa hivyo hakuna mwanaume atakayekaa humo
Yahweh anaelezea wazo lililo sawa kwa njia mbili tofauti ili kusisitiza ukamilifu wa uharibifu wa miji.