sw_tn/zec/10/04.md

24 lines
697 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# Kutoka kwao litatoka jiwe kuu la pembeni
"Jiwe la pembeni litatoka kwao." Kiongozi mhimu anazungumzwa kama vile jiwe kuu la msingi wa jengo.
# kutoka kwao kitatoka kigingi cha hema
"kigingi cha hema kitatoka kwao." Viongozi wakuu wanazungumzwa kama vile vigingi vikubwa vinavyolishikilia hema mahali pake.
# kutoka kwao utatoka upinde wa vita
"upinde wa vita utatoka kwao." Viongozi wa kijeshi wanasemwa kama walikuwa upinde uliotumiwa vitani.
# Watakuwa kama mashujaa
"Watakuwa wenye nguvu vitani"
# wawakanyagao adui zao katika matope ya mitaani vitani
"wawashindao adui zao kwa ukamilifu"
# nao watawaabisha wapanda farasi
"nao watawashinda adui zao wapiganao nao katika farasi"