forked from WA-Catalog/sw_tn
16 lines
499 B
Markdown
16 lines
499 B
Markdown
|
# taona
|
||
|
|
||
|
"ataona Tiro ikiharibiwa"
|
||
|
|
||
|
# Wageni watafanya makazi yao katika Ashidodi
|
||
|
|
||
|
"Wageni wataichukua Ashidodi na kufanya makao yao pale"
|
||
|
|
||
|
# nami nitakiondoa kiburi cha Wafilisiti
|
||
|
|
||
|
"Nitawafanya Wafilisita wasijivune tena"
|
||
|
|
||
|
# Nitaondoa damu yao katika vinywa vyao na machukizo yao kutoka kati ya meno yao
|
||
|
|
||
|
Hii inamaanisha nyama pamoja na ndamu ndani, na nyama iliyotolewa kwa vinyago. Yaani "Sitawaruhusu tena kula nyama pamoja damu ndani yake, na nitawazui kula chakula kilichotolewa kwa sanamu"
|