sw_tn/zec/08/13.md

24 lines
322 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# Mlikuwa mfano wa laana kwa mataifa mengine
"Nilipowaadhibu, mataifa mengine yalijifunza"
# Nyumba ya Yuda na nyumba ya Israeli
"Watu wa Yuda na Israeli"
# Mikono yenu itiwe nguvu
"fanyeni kazi kwa bidii"
# siwazuru
"kuwaadhibu"
# kuchokoza hasira yangu
"kunikasirisha"
# hakujuta
"hakuamua kuwaadhibu kidogo"