# Mlikuwa mfano wa laana kwa mataifa mengine "Nilipowaadhibu, mataifa mengine yalijifunza" # Nyumba ya Yuda na nyumba ya Israeli "Watu wa Yuda na Israeli" # Mikono yenu itiwe nguvu "fanyeni kazi kwa bidii" # siwazuru "kuwaadhibu" # kuchokoza hasira yangu "kunikasirisha" # hakujuta "hakuamua kuwaadhibu kidogo"