sw_tn/zec/08/09.md

20 lines
470 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# Msingi wa nyumba yangu ulipowekwa
"Msingi wa nyumba yangu ulipowekwa mahali pake" kwa "mlipokuwa mkijenga msingi wa nyumba yangu"
# Itieni nguvu mikono yenu
"fanyeni kazi kwa bidii"
# Maana kabla ya siku hizo
"Kabla hamjaanza kulijenga hekalu"
# Hakuna mazao yaliyokusanywa ndani
"hakukuwa na mazao ya kuvuna"
# Hakukuwa na faida kwa mtu wala mnyama
Haikuwa na faida kwa mwanadamu na wanyama wao kuilima nchi, kwa sababu hawakupata chakula kutoka ndani yake.