# Msingi wa nyumba yangu ulipowekwa "Msingi wa nyumba yangu ulipowekwa mahali pake" kwa "mlipokuwa mkijenga msingi wa nyumba yangu" # Itieni nguvu mikono yenu "fanyeni kazi kwa bidii" # Maana kabla ya siku hizo "Kabla hamjaanza kulijenga hekalu" # Hakuna mazao yaliyokusanywa ndani "hakukuwa na mazao ya kuvuna" # Hakukuwa na faida kwa mtu wala mnyama Haikuwa na faida kwa mwanadamu na wanyama wao kuilima nchi, kwa sababu hawakupata chakula kutoka ndani yake.