sw_tn/zec/08/06.md

20 lines
493 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# Kama jambo haliwezekani katika mcho ya
"Ikiwa jambo fulani halionekani kuwezekana"
# masalia ya watu hawa
"watu wa Yuda waliosalia"
# Je! lisiwezekane pia machoni pangu?
Mungu anauliza swali hili ili kuwashawishi watu wake kuamini ahadi zake.
# Hili ni tamko la Yahwe
Kifungu hiki kwa kawaida kimetafsiriwa kama "asema Yahwe. Kifungu hiki kimetumika mara nyingi katika kitabu cha Zakaria.
# Ninaelekea kuwakomboa watu wangu
"Niko karibu kuwakomboa watu wangu walikwenda uamishoni"