sw_tn/zec/02/08.md

24 lines
696 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# Maelezo ya Jumla:
Zakaria anasema jinsi Yahwe anavyomtuma kuwahukumu mataifa walioiteka Yerusalemu.
# Kuwateka ninyi
"kuiba vitu kutoka Yerusalemu baada ya kuwa imeshambuliwa"
# maana kila akugusaye
"Kugusa" inamaanisha kudhuru
# mboni ya jicho la Mungu
mboni ya jicho inamaanisha sehemu nyeusi katika jicho inayomwezesha mtu kuona. Hii ni sehemu muhimu sana katika mwili wa mtu. Hii inaonesha kwamba Yerusalemu ni ya muhimu sana kwa Mungu na ni kitu ambacho Mungu atakilinda.
# tikisa mkono wangu juu yao
hii ni ishara inayotumika kuonesha Mungu amechagua Kuharibu jambo fulani.
# na watakuwa mateka
Miji yao imeharibiwa tiyari na imeachwa wazi kwa watu kuiba chochote watakacho.