sw_tn/zec/02/06.md

16 lines
391 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# Kimbieni! kimbieni!
Maneno haya yamerudiwa na yanaonesha umuhimu kwa ujumbe unaofata. Umetumika mara mbili kwa sababu ujumbe ni mhimu sana.
# nchi ya kaskazini
Inamaanisha Babeli
# nimewatawanya kama pepo nne za anga
Hii inamaanisha watu wa Israeli wako mbali mmoja kwa mwingine. Pepo nne zinamaanisha sehemu mbalimbali za dunia.
# binti Babeli
Hii inamaanisha mji mkuu wa Babeli.