sw_tn/sng/08/02.md

28 lines
1006 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# Maelezo ya Jumla
Mwanamke anaendelea kuzungumza na mpenzi wake.
# Nitakuongoza na kukuleta kwenye nyumba ya mama yangu
Kama mpenzi angekuwa kaka yake, angemleta kwa nyumba ya familia. Hii ilikuwa kawaida katika huo utamaduni na bado unaendelea kwa baadhi.
# na utanifundisha
Hii yaweza tafsiriwa kama "na ata nifundisha." Kwasababu mwanamke hana uzoefu wa kufanya mapenzi, ana fikiri kuwa mpenzi wake au mama yake angemfundisha jinsi ya kufanya mapenzi.
# Nitakupa mvinyo ulio chachwa unywe na baadhi ya jwisi ya komamanga
Mwanamke anatumia haya maumbo kusema kuwa atajitolea kwa mpenzi wake na kufanya mapenzi naye.
# mvinyo ulio chachwa
"mvinyo wenye viungo" au "mvinyo wenye viungo ndani yake" Hii ya wakilisha nguvu ya kulevya ya mapenzi.
# jwisi ya komamanga
Mwanamke ana wakilisha kimiminika chake na maji ya komamanga.
# Mkono wake wa kushoto...wanikumbatia
Tazama ilivyo tafsiriwa "Mkono wake wa kushoto upo chini ya kichwa changu, na mkono wake wa kulia wanikumbatia" ndani ya 2:5.