sw_tn/sng/05/13.md

28 lines
618 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# Maelezo ya Jumla
Mwanamke anaendelea kumuelezea mpenzi wake.
# Mashavu yake ... arufu ya marashi
Hii ya fafanua kuwa mashavu yake ni kama vitanda vya manukato kwasababu vyote vinatoa harufu nzuri.
# vitanda vya manukato
bustani au sehemu ya bustani watu wanapo otesha manukato
# vinavyotoa arufu ya marashi
"vinavyotoa harufu nzuri"
# Midomo yake ni nyinyoro
Mwanamke inawezekana ana linganisha midomo yake na nyinyoro kwasababu ni mizuri na inanukia vizuri.
# tiririka udi
"inayo tiririka na udi uliyo bora." Midomo yake ni minyevu na inanukia vizuri kama udi.
# nyinyoro
Ona jinsi ulivyo tafsiri 2:16