# Maelezo ya Jumla Mwanamke anaendelea kumuelezea mpenzi wake. # Mashavu yake ... arufu ya marashi Hii ya fafanua kuwa mashavu yake ni kama vitanda vya manukato kwasababu vyote vinatoa harufu nzuri. # vitanda vya manukato bustani au sehemu ya bustani watu wanapo otesha manukato # vinavyotoa arufu ya marashi "vinavyotoa harufu nzuri" # Midomo yake ni nyinyoro Mwanamke inawezekana ana linganisha midomo yake na nyinyoro kwasababu ni mizuri na inanukia vizuri. # tiririka udi "inayo tiririka na udi uliyo bora." Midomo yake ni minyevu na inanukia vizuri kama udi. # nyinyoro Ona jinsi ulivyo tafsiri 2:16