sw_tn/sng/05/12.md

20 lines
565 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# Maelezo ya Jumla
Mwanamke anaendelea kumuelezea mpenzi wake.
# Macho yake ni kama ya hua
Ona jinsi ulivyo tafsiri "macho yako ni kama ya hua" 1:15
# pembezoni ya vijito vya maji
Mwanamke anaweza kuwa anatumia hili umbo kusema kwamba macho ya mpenzi wake ya unyevu kama mifereji ya maji.
# yameoshwa na maziwa
"yamejiosha yenyewe katika maziwa." Hua wanawakilisha watoto wa mpenzi. Haya yamezungukwa na macho yake yote, ambayo ni meupe kama maziwa.
# yameundwa kama mikufu
Macho yake ni mazuri hadi yanaonekana kama madini ambayo sonara ameyaweka pamoja.