# Maelezo ya Jumla Mwanamke anaendelea kumuelezea mpenzi wake. # Macho yake ni kama ya hua Ona jinsi ulivyo tafsiri "macho yako ni kama ya hua" 1:15 # pembezoni ya vijito vya maji Mwanamke anaweza kuwa anatumia hili umbo kusema kwamba macho ya mpenzi wake ya unyevu kama mifereji ya maji. # yameoshwa na maziwa "yamejiosha yenyewe katika maziwa." Hua wanawakilisha watoto wa mpenzi. Haya yamezungukwa na macho yake yote, ambayo ni meupe kama maziwa. # yameundwa kama mikufu Macho yake ni mazuri hadi yanaonekana kama madini ambayo sonara ameyaweka pamoja.