sw_tn/sng/04/15.md

40 lines
802 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# Maelezo ya Jumla
Mpenzi anaendelea kumsifu mwanamke.
# Wewe ni bustani ya chemchemi
"Wewe ni chemchemi katika bustani." Mpenzi ana elezea jinsi alivyo mzuri kwa kumfananisha na maji.
# maji safi
maji safi ya kunywa
# mifereji inayo shuka kutoka Lebanoni
Kwasababu Lebanoni ilikuwa na milima iliyo funikwa kwa miti, mifereji kutoka Lebanoni ilikuwa misafi na ya baridi.
# Amka ... manukato yake yatoe marashi
Mwanamke anazungumza na upepo wa kaskazini na wa kusini kama ni watu.
# Amka
"Anza kwenda"
# vuma katika bustani yangu
Mwanamke ana utaja mwili wake kwa kuuongelea kama bsutani.
# ili manukato yake yatoe marashi
"itume harufu yake nzuri"
# Mpenzi wangu na ... matunda ya chaguo
Mwanamke anamkaribisha mpenzi wake kumfurahia kama mkewe.
# matunda ya chaguo
"matunda mazuri"