sw_tn/sng/03/03.md

16 lines
341 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# Walinzi
watu wenye wajibu wa kulinda mji usiku kuwa weka watu salama
# walipo kuwa doria katika mji
"walio kuwa wakipita kwenye mji" au "walio kuwa wanatembea mjini
# kitandani
"chumba walichokuwa wanalala"
# yeye aliyenichukua mimba
"yeye aliye beba mimba na mimi" au "yeye aliye ni beba tumboni mwake" Hii ina maana ya mama yake.