# Walinzi watu wenye wajibu wa kulinda mji usiku kuwa weka watu salama # walipo kuwa doria katika mji "walio kuwa wakipita kwenye mji" au "walio kuwa wanatembea mjini # kitandani "chumba walichokuwa wanalala" # yeye aliyenichukua mimba "yeye aliye beba mimba na mimi" au "yeye aliye ni beba tumboni mwake" Hii ina maana ya mama yake.