sw_tn/sng/02/12.md

32 lines
445 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# Maua yametokeza
"Waeza ona maua" au "Watu wanaeza ona maua."
# juu ya nchi
"katika nchi yote hii"
# wakati wa kupunguza matawi
"majira ya watu kupunguza matawi"
# na kuimba kwa ndege
" na ndege kuimba"
# sauti za hua zimesikika
"waeza sikia hua wakilia" au "watu waeza sikia sauti za hua"
# mizabibu imestawi
"mizabibu imetoa maua" au "mizabibu ina maua"
# yatoa
Neno "ya" linahusu kustawi kwa mizabibu.
# marashi
"arufu nzuri"