# Maua yametokeza "Waeza ona maua" au "Watu wanaeza ona maua." # juu ya nchi "katika nchi yote hii" # wakati wa kupunguza matawi "majira ya watu kupunguza matawi" # na kuimba kwa ndege " na ndege kuimba" # sauti za hua zimesikika "waeza sikia hua wakilia" au "watu waeza sikia sauti za hua" # mizabibu imestawi "mizabibu imetoa maua" au "mizabibu ina maua" # yatoa Neno "ya" linahusu kustawi kwa mizabibu. # marashi "arufu nzuri"