sw_tn/rut/03/08.md

16 lines
266 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# Ikaja kuwa kwamba
Haya maneno yanatumika kuonyesha jambo muhimu katika stori.
# usiku wa manane
"katikati ya usiku"
# Aligeuka
Aliangalia nini kimemgusa
# mwanamke alikuwa amelala miguuni mwake
Mwanamke alikuwa Ruthi, lakini Boazi hakuweza kumtambua gizani