# Ikaja kuwa kwamba Haya maneno yanatumika kuonyesha jambo muhimu katika stori. # usiku wa manane "katikati ya usiku" # Aligeuka Aliangalia nini kimemgusa # mwanamke alikuwa amelala miguuni mwake Mwanamke alikuwa Ruthi, lakini Boazi hakuweza kumtambua gizani