sw_tn/rom/16/01.md

36 lines
642 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2018-04-12 01:01:04 +00:00
# Kauli unganishi
Kisha Paulo anasalimia waumini walio wengi huko Rumi kwa kutaja majina
# Namkabidhi kwenu Fibi
"Nawaomba mumheshimu Fibi"
# Fibi
Hili ni jina la mwanamke
# dada yetu
Neno hili linamwelezea Paulo na waumin9 wote. "Dada yetu katika Kristo"
# Kenkrea
Hii ilikuwa ni bandari ya mji wa Giriki.
# Mpokee katika Bwana
"Mkaribisheni kwasababu sisi sote tumemilikiwa na Bwana"
# Katika kicho cha thamani cha waumini
" katika njia ambayo waumini wangeweza kukaribisha waumini wengine"
# simama pamoja naye
"Mmusaidie"
# amekuwa mhudumu wa wengi na wangu mwenywe pia
"amewahudumia watu wengu, na amenisaidia mimi pia"