forked from WA-Catalog/sw_tn
16 lines
720 B
Markdown
16 lines
720 B
Markdown
|
# Hivyo furaha yangu iko katika Kristo Yesu na katika mambo ya Mungu.
|
||
|
|
||
|
"Kwahiyo nina sababu ya kufurahi katika Kristo Yesu na katika kazi ya Mungu aliyonipa kuitenda"
|
||
|
|
||
|
# Haya mambo yametimizwa kwa neno na kwa tendo, kwa nguvu za ishara na maajabu, na kwa nguvu za Roho mtakatifu
|
||
|
|
||
|
"Kwa ajili ya utii wa mataifa, pekee nitanena kile Kristo ametimiza kupitia kwangu katika maneno na matendo yangu kwa nguvu za ishara na ajabu kupitia nguvu za Roho Mtakatifu."
|
||
|
|
||
|
# ishara na maajabu
|
||
|
|
||
|
maneno haya mawili hakika yana maana moja ya miujiza ya namna tofauti tofauti.
|
||
|
|
||
|
# ili kwamba kutoka Yerusalemu, na kuzungukia mbali kama Iliriko
|
||
|
|
||
|
Hii ni kutoka mji wa Yerusalemu na umbali kwenda jimbo la Iliriko, mkoa ulio karibu na Italia.
|