sw_tn/rom/14/14.md

20 lines
738 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2018-04-12 01:01:04 +00:00
# Najua na ninashawishika katika Bwana Yesu
Hapa maneno "jua" na " Ninashawishika" yanamaanisha kitu kilekile; Paulo anayatumia kusisitiza uhakika wake. "Nina uhakika kwa sababu ya mahusiano yangu na Bwana Yesu"
# Hakuna kilicho safi kwa ajili yake chenyewe
"Kila kitu chenyewe ni safi"
# Kwa ajili yake mwenyewe adhaniye kuwa ni safi, kwake yeye si safi
Lakini kama mtu akidhani kuwa kitu fulani si safi, hivyo kwake yeye si safi na anapaswa kuwa mbali nacho"
# Ikiwa ni kwa sababu ya chakula ndugu yako anaumia
"Ikiwa utaumiza imani ya mwamini mwenzako kwa mabo ya chakula." hapa neno "yako" linamaanisha imani thabiti na " ndugu" linamaanisha aliye dhaifu katika imani.
# Hautembei tena katika upendo
"Hauoneshi tena upendo"