sw_tn/rom/11/28.md

16 lines
523 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2018-04-12 01:01:04 +00:00
# Kwa upande mmoja... kwa upande mwingine
Hizi ni sentensi zinazotumika kufananisha vitu viwili tofauti kuhusu kitu. Paulo alitumia kuelezea kwamba Mungu aliwakataa Wayahudi, lakini pia bado anawapenda.
# Wanachukiwa kwa sababu yenu
Upendo wa Mungu kwa Mataifa ulikuwa mkubwa sana kiasi kwamba ukilinganisha upendo kwa Wayahudi ukaonekana kama chuki.
# Kwa kuwa walichukiwa
"Mungu aliwachukia Wayahudi"
# Kwa ajili ya zawadi na wito wa Mungu usiobadilika
"Kwa sababu zawadi ya Mungu na wito wake hauwezi kubadilika"