sw_tn/rom/08/28.md

40 lines
986 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2018-04-12 01:01:04 +00:00
# Sentensi unganishi
Paulo anawakumbusha walioamini kwamba hakuna kinachoweza kuwatenganisha na upendo wa Mungu.
# kwa wale wote walioitwa
"kwa wale wote ambao Mungu aliwachagua"
# wote aliowajua tangu asili
"wote ambao aliwajua hata kabla ya kuwaumba"
# Yeye pia aliwachagua tangu asili
"yeye pia aliufanya mwisho wake" au "yeye pia aliupanga tangu awali"
# wafananishwe na sura ya Mwana wake
Mungu alipanga kabla ya kuanza kwa uumbaji kuwakuza wale wamwaminio Yesu, Mwana wa Mungu, kuwa watu wafananao na Yesu. "kwamba angewabadilisha wawe kama Mwana wake."
# Mwana
Hili ni jina la muhimu la Yesu, Mwana wa Mungu.
# kwamba awe mzaliwa wa kwanza
"ilikwamba Mwana wake awe mzaliwa wa kwanza"
# kati ya ndugu wengi
"miongoni mwa akina kaka na dada wengi ambao ni wa familia ya Mungu"
# Wale ambao aliwachagua tangu asili
"Wale ambao Mungu aliwapangia kabla"
# hao pia akawatukuza
Neno "kutukuzwa" ni nyakati zilizopita kuonesha msisitizo kwamba hili litatokea hakika.