sw_tn/rom/05/20.md

24 lines
535 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2018-04-12 01:01:04 +00:00
# sheria ilikuja na
"Sheria ilikuja kwa siri"
# kosa liweze kuongezeka
Hii ina maanisha vyote kwamba "watu wapate kuelewa kwa kiasi gani wamefanya dhambi" na "watu wapate kufanya dhambi zaidi."
# kuongezeka
"kuongezeka"
# kama dhambi utawala katika kifo
"kama dhambi ilivyosababisha kifo"
# hata neema iweze kutawala kupitia haki kwa maisha ya milele kupitia Yesu Kristo Bwana wetu
"neema iliwapa watu maisha ya milele kupitia haki ya Yesu Kristo Bwana wetu"
# Bwana wetu
Paulo anawajumuisha wasomaji wake na wakristo wote.