sw_tn/rom/05/16.md

28 lines
631 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2018-04-12 01:01:04 +00:00
# Kwa kuwa zawadi si tokeo la yule aliyefanya dhambi
"zawadi si tokeo la dhambi ya Adamu"
# kwa upande mmoja
"Kwa sababu ya upande mmoja"
# kwa upande mmoja, hukumu ya kukataliwa ilikuja kwa sababu ya kosa la mtu mmoja. Lakini kwa upande mwingine
Kikundi cha maneno "kwa upande mmoja" na 'lakini kwa upande mwingine" utanguliza njia mbili tofauti za kufikiri kuhusu kitu fulani. "hukumu ya kukataliwa ilikuja kwa sababu ya makosa ya mtu mmoja, lakini"
# baada ya makosa mengi
"baada ya dhambi za wengi"
# Kosa la mmoja
Kosa la Adamu
# kifo kilitawala
"kila mmoja alikufa"
# maisha ya yule mmoja
maisha ya Yesu Kristo