sw_tn/rev/19/21.md

8 lines
336 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2018-04-12 01:01:04 +00:00
# Wale waliobaki waliuawa kwa upanga uliotoka kinywani mwa mmoja aliyepanda juu ya farasi
Hii inaweza kuelezwa kwa hali ya kutenda. "Mpandaji wa farasi aliwaua wanajeshi waliosalia wa mnyama kwa upanga uliotoka kinywani mwake"
# uliotoka kinywani mwake
Ubapa wa upanga ulikuaunchomoza kinywani mwake. Upanga wenyewe haukua ukisogea.