sw_tn/rev/19/17.md

8 lines
292 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2018-04-12 01:01:04 +00:00
# Niliona malaika amesimama katika jua
Hapa "jua" ni njia nyingine ya kusema mwanga wa jua. "Kisha nikaona malaika akisimama kwenye mwanga wa jua"
# walio huru na watumwa, wasio na umuhimu na wenye nguvu
Malaika anatumia makundi mawili ya maneno yenye tofauti pamoja kumaanisha watu wote.