sw_tn/rev/12/03.md

16 lines
309 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2018-04-12 01:01:04 +00:00
# Kauli Unganishi:
Yohana anaelezea joka lililotokea kwenye maono yake.
# joka
Hili lilikuwa tambaazi kubwa kali, kama mjusi. Kwa wayahudi ilikuwa ni alama ya uovu na machafuko.
# Mkia wake ulikokota theluthi moja ya nyota
"Alikokota theluthi moja ya nyota na mkia wake"
# theluthi moja
"moja ya tatu"