forked from WA-Catalog/sw_tn
12 lines
402 B
Markdown
12 lines
402 B
Markdown
|
# Kauli Unganishi:
|
||
|
|
||
|
Yohana anaendelea kuelezea farasi na mapigo waliyoleta kwa binadamu.
|
||
|
|
||
|
# Theluthi ya wanadamu
|
||
|
|
||
|
"Theluthi moja ya watu."
|
||
|
|
||
|
# wa kuwa nguvu ya farasi ilikuwa katika midomo yao na katika mikia yao
|
||
|
|
||
|
Nomino "nguvu" inaweza kutafsiriwa na kivumishi. "Kwa kuwa ilikuwa midomo na mikia ya farasi aliyokuwa na nguvu sana" au "kwa kuwa ilkuwa midomo na mikia ya farasi ilyoweza kuwaumiza watu"
|