sw_tn/rev/09/10.md

24 lines
871 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2018-04-12 01:01:04 +00:00
# Walikuwa na mikia
Neno "Walikuwa" inamaanisha nzige.
# na mikia inayouma kama nge
Nge ni mdudu mdogo wenye ncha kali yenye sumu mkiani. Kudungwa naye kunaweza kusababisha maumivu makali au hata kifo. "na mikia kama mikia ya nge" au "na mikia iwezayo kusababisha maumivu mabaya kama mikia ya nge"
# katika mikia yao walikuwa na nguvu ya kudhuru watu kwa miezi mitano
Maana zinazowezekana ni 1) walikuwa na nguvu kwa miezi mitano kudhuru watu au 2) wataweza kuuma watu na maumivu yao yatadumu miezi mitano.
# shimo lisilokuwa na mwisho
Hili ni shimo refu sana. Maana zinazowezekana ni 1)shimo halina mwisho chini; inaendelea kwenda chini zaidi milele au 2) shimo ni refu sana hata linakuwa kama vile halina mwisho.
# Abadoni ... Apolioni
Majina yote yanamaanisha "maangamizi"
# kuna maafa mawili yaja
Ziko katika wakati wa baadae zinazungumziwa kama zinakuja.