sw_tn/rev/04/06.md

16 lines
518 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2018-04-12 01:01:04 +00:00
# bahari ya kioo
Inaainisha wazi jinsi ilivyokua kama kioo au bahari. Maana zinazowezekana ni 1) bahari linazungumziwa kama vile ni kioo. "bahari lililo laini kama kioo" au 2) kioo kinazungumziwa kama vile ni bahari. "kioo kilichosambazwa kama bahari"
# kama kioo
Inaainishwa wazi jinsi ilivyokua kama kioo. "nyeupe kama kioo"
# Katikati ya kiticha enzi na kukizunguka
"Hapo hapo karibu na kiti cha enzi" au "Karibu na kiti cha enzi na kukizunguka"
# wenye uhai wanne
"viumbe wanne" au "vitu vinne vyenye uhai"