sw_tn/rev/02/18.md

28 lines
913 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2018-04-12 01:01:04 +00:00
# Taarifa ya Jumla:
Huu ni mwanzo wa ujumbe wa Mwana wa Adamu kwa malaika wa kanisa la Thiatra.
# Thiatra
Hili ni jina la mji ndani ya Asia ambapo ni Uturuki ya leo.
# Mwana wa Mungu
Hili ni jina muhimu la Yesu Kristo.
# macho yake kama mwali wa moto
Macho yake yanaelezwa kuwa na mwanga kama mwali wa moto. "macho yake yaling'ara kama mwali wa moto"
# nyayo kama shaba iliyosuguliwa
Shaba hung'arishwa kuifanya ingae na kurudisha mwanga. "Miguu yake iling'ara sana kama shaba iliyosuguliwa"
# upendo wako na imani na huduma na uvumilivu wako thabiti
Hizi ni nomino dhahania ambazo zinaweza kutafsiriwa na vitenzi. "jinsi unavyopenda, kuamini, kuhudumu na kuvumilia kwa thabiti.
# upendo wako na imani na huduma na uvumilivu wako thabiti
Maana ya mambo ya hivi vitenzi vinaweza kuweka bayana. "jinsi unavyonipenda na wengine, unavyoniamini, unavyohudumia wengine, na kustahamili tabu kwa uvumilivu".