sw_tn/rev/01/17.md

16 lines
574 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2018-04-12 01:01:04 +00:00
# nikaanguka miguuni pake
Yohana alilala chini akitazama ardhi. Inawezekana alikuwa ameogopa sana na alikuwa akimpa Yesu heshima.
# Akaweka mkono wake wa kulia juu yangu
"Alinigusa na mkuno wake wa kulia"
# Mimi ni wa kwanza na wa Mwisho
Hii inamaanisha uasili wa Yesu wa milele.
# ninazo funguo za mauti na kuzimu
Kuwa na nguvu juu ya jambo au kitu huzungumziwa kama kuwa na funguo zake. Maana inayooneshwa ni kwamba anaweza kuwapa uhai wale waliokufa na kuwatoa kuzimu. "Nina nguvu juu ya kifo na kuzimu" au "nina uwezo wa kuwapa uhai waliokufa na kuwatoa kuzimu".