sw_tn/psa/147/017.md

20 lines
618 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# Huigawa mvua ya mawe kama makombo
Yahwe husambaza mvua ya mawe kwa wepesi kama mtu anavyosambaza chembechembe za mkate. "Huigawa mvua ya mawe kwa urahisi, kana kwamba ni makombo"
# Huigawa
"Hutuma"
# mvua ya mawe
mvua yenye vipande vidogo vya barafu kutoka angani
# nani anawezakustahimili baridi anayoituma
Mwandishi anatumia swali hili kusisitiza kuwa ni vigumu kuvumilia hali ya hewa ya baridi ambayo Yahwe husababisha. "hakuna anayeweza kuishi katika baridi anayoituma"
# Hutuma amri yake na kuyayeyusha
Mwandishi anazungumzia amri ya yahwe kana kwamba ilikuwa ni mjumbe wake. "Huamuru barafu kuyeyuka"