sw_tn/psa/142/006.md

16 lines
363 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# Sikia wito wangu
Huu ni wito wa msaada. "Nisikilize ninapokuita kwa ajili ya msaada"
# Nimeshushwa chini sana
Maana zinazowezekana ni 1) "mimi ni mhitaji sana" na 2) "mimi ni mnyonge sana."
# Leta nafsi yangu kutoka gerezani
Hili ni ombi. "nitoe gerezani"
# nitoe shukrani kwa jina lako
Neno "jina" ni njia nyingine ya kusema mtu. "kutoa shukrani kwako"