# Sikia wito wangu Huu ni wito wa msaada. "Nisikilize ninapokuita kwa ajili ya msaada" # Nimeshushwa chini sana Maana zinazowezekana ni 1) "mimi ni mhitaji sana" na 2) "mimi ni mnyonge sana." # Leta nafsi yangu kutoka gerezani Hili ni ombi. "nitoe gerezani" # nitoe shukrani kwa jina lako Neno "jina" ni njia nyingine ya kusema mtu. "kutoa shukrani kwako"