sw_tn/psa/142/003.md

28 lines
745 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# roho yangu imedhoofika ndani yangu
"niko mnyonge" au "nimekata tamaa sana"
# unafahamu njia yangu
"unafahamu njia nayopaswa kuchukua." Mwandishi anazungumza kana kwamba afanyacho mtu ni njia ambayo mtu amepitia. "unafahamu namna ninavyopaswa kuishi"
# Katika njia nayopita wameficha mtego kwa ajili yangu
Mwandishi wa zaburi anazungumzia watu kutaka kumdhuru kana kwamba walikuwa wakijaribu kutega mnyama. "Wanafanya mipango ili chochote nitakachofanya wanidhuru"
# maisha yangu
Hii ni njia nyingine ya kusema "mimi."
# Nikakuita
Huu ni wito wa msaada. "nikuita wewe kwa ajili ya msaada"
# fungu langu
Maana zinazowezekana ni 1)"ninachotaka" au 2) "ninachohitaji" au 3) "nilichonacho"
# katika nchi ya walio hai
"wakati niko hai"