sw_tn/psa/137/007.md

12 lines
481 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# Kuita akilini
"Kukumbuka" au "Kufikiria"
# Kuita akilini, Yahwe, walichofanya Waedomu
Hapa kukumbuka kile ambacho Waedomu walichofanya inawakilisha kuwaadhibu kwa kile walichotenda. "Waadhibu Waedomu, Yahwe, kwa kile walichotenda"
# siku ambayo Yerusalemu ilianguka
Yerusalemu kukamatwa na jeshi la adui inazungumziwa kana kwamba imeanguka. Aliyeikamata Israeli inaweza kuwekwa wazi. "siku ambayo Yerusalemu ilikamatwa" au "siku ambayo jeshi la Babeli liliingia Yerusalemu"