# Kuita akilini "Kukumbuka" au "Kufikiria" # Kuita akilini, Yahwe, walichofanya Waedomu Hapa kukumbuka kile ambacho Waedomu walichofanya inawakilisha kuwaadhibu kwa kile walichotenda. "Waadhibu Waedomu, Yahwe, kwa kile walichotenda" # siku ambayo Yerusalemu ilianguka Yerusalemu kukamatwa na jeshi la adui inazungumziwa kana kwamba imeanguka. Aliyeikamata Israeli inaweza kuwekwa wazi. "siku ambayo Yerusalemu ilikamatwa" au "siku ambayo jeshi la Babeli liliingia Yerusalemu"